Mkuu wa Vodacom kanda ya Pwani Atilio Lupala(kushoto)akimkabidhi hundi yenye thamani ya Tsh Milioni 11 mshindi wa promosheni ya Mega Gardner Habash(kulia)inayoendeshwa na Vodacom Tanzania ambapo wateja hushiriki na kushinda luninga na fedha taslimu kila siku,katikati Meneja wa Vodacom Henry Tzamburukas.
Washindi waliojishindia Televisheni wakiondoka na zawadi zao baada ya kukabidhiwa.
0 comments:
Post a Comment