Nafasi Ya Matangazo

October 14, 2011

MTAYARISHAJI WA HABARI WA ITV MUHIDIN YUSUFU PENGO AMEFARIKI DUNIA HII LEO ASUBUHI NYUMBANI KWAKE UKONGA KITUNDABAADA YA KUUGUA KWA MUDA MREFU. 

KWA MUJIBU WA TAARIFA YA FAMILIA MAREHEMU PENGO ANATARAJI KUZIKWA KESHO KATIKA MAKABURI YA FAMILIA HUKO KINYEREZI DAR ES SALAAM.

KWA NIABA YA WANAFUNZI WOTE WA DARASA LA ACC SPECIAL 2001 PALE CHUO CHA UANDISHI WA HABARI TIME (SIKU HIZI TSJ) ILALA KUMPA POLE MJANE WA MAREHEMU, WATOTO, NDUGU, JAMAA NA WAFANYAKAZI WOTE WA IPP MEDIA.
Posted by MROKI On Friday, October 14, 2011 1 comment

1 comment:

  1. dah picha hii inanikumbusha mbali sana, hii ilikuwa siku ya tarehe 23/05/2009 katika ukumbi wa Msasani Beach. Ilikuwa nai Send Off ya Mary ambaye siku mbili baadaye aliolewa na Idd Ligongo. R.I.P my brother.
    HB

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo