Models waliovalia "Beachwear" ikiwa ni ubunifu wa Vida Mahimbo wakipita jukwaani kuonesha viwalo hivyo vipya wakati wa uzinduzi wake.
Wadau wa masuala ya Ubunifu wa Mitindo na Mavazi wakisubiri kwa hamu kuanza kwa Onyesho la Vida Mahimbo's Beachwear Collection, F Vodka na Fashion TV katika hoteli ya Mediterraneo lililofanyika mwishoni mwa wiki.
Vida Mahimbo akifanyiwa mahojiano na Fashion TV mara baada ya kumalizika kwa Onyesho lake.
hongera Vida "Keep it up"
ReplyDelete