Nafasi Ya Matangazo

October 18, 2011

Padri Hugh Chikawe (67) wa Kanisa Katoliki la Mt. Peter Clever lililopo Florida, Marekeni wakati wa sherehe za kumpongeza kutimiza miaka 40 ya upadri zilizofanyiaka mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia ni mdogo wake Mathias Chikawe ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora) na mkewe Prof. Amandina Lihamba.
Mama Prisca Chikawe (85) akimlisha keki mtoto wake Padri Hugh Chikawe (67) kutoka Kanisa Katoliki la Mt. Peter lililopo Florida, Marekeni wakati wa sherehe za kumpongeza kutimiza miaka 40 ya upadri. Anayeshuhudia ni mdogo wake Mathias Chikawe ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora) na mkewe Prof. Amandina Lihamba.
Posted by MROKI On Tuesday, October 18, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo