Jiji la Mbeya limeanza kungeza kazi ya maendeleo kwa kuboresha miundombinu yake na kuwa na majengo ya kisasana yakuvutiayaliyojengwa kwa ufundi mkubwa kama hili pichani.
Karandinga likisambaza kifusi katika barabara inayoendelea kujengwa Mbeya Mjini.
Katika vipande korofi mkandarasi analazimika kutandika zulia maalum kisha kumwaga kifusi juu yake.
0 comments:
Post a Comment