
MIAKA 50 YA UHURU NA MAPINDUZI YA SEKTA YA AFYA
NHIF NA CHF NDIYO MKOMBOZI WA KWELI KARIBUNI KWENYE BANDA LETU VIWANJA VYA MNAZI MMOJA. ELIMU KWA UMMA INATOLEWA KATIKA KUONGEZA UELEWA WA MAJUKUMU MBALIMBALI YA BIMA YA AFYA NA ILE YA MIFUKO YA AFYA YA JAMII
PIA
UPIMAJI WA AFYA KWENYE BANDA LA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA
KULIA NI AFISA ANAYESHUGHULIKIA WANACHAMA BWN. PAUL MARENGA AKIFAFANUA JAMBO
KWA MWANACHAMA WA BIMA YA AFYA
BI L. SWAI.

.AFISA UHUSIANO MWANDAMIZI WA NHIF BWN LUHENDE SINGU AKITOA MAELEZO YA UMUHIMU WA FAO LA
WASTAAFU KWA WANACHAMA WA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA
ANAYEMSIKILIZA NI MWALIMU MSTAAFU BWN.JOHN LUSINGU KUTOKA MAGU SHINYANGA ALIPOTEMBELEA KWENYE BANDA LA MFUKO HUO WAKATI WA MAONESHO YA MAADHIMISHO YA MIAKA YA 50 YA UHURU YALIYOFUNGULIWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM.
0 comments:
Post a Comment