Nafasi Ya Matangazo

September 10, 2011

Hitilafu ya Umeme katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam umesababisha kukwama kwa safari za ndege zote zilizokuwa zitue uwanjani hapo usiku huu na kuruka. Baadhi ya Mashirika ya Ndege yamelazimika kupeleka ndege zake kutua katika Uwanja wa ndege wa Zanzibar na Kilimanjaro. Immeelezwa kuwa hitilafu hiyo ya umeme imesababisha kuzima kwa taa za kuongozea ndege katika njia ya za kurukia. Jijini Mwanza abiria wa waliokuwa wasafiri na Ndege ya Precision Air kwenda Dar es Salaam wametangaziwa kuahirishwa klwa safari hiyo iliyokuwa ifanyike Saa 5 usiku huu.
Posted by MROKI On Saturday, September 10, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo