Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho kikwete akiteta jambo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,wakati wa Dua maalum ya kuwaombea wananchi waliofariki katika ajali ya Meli ya Mv Spice Islander katika viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar.
Rais Dkt.Jakaya mrisho Kikwete akitoa salamu zake za pole mara baada ya kumalizikia kwa dua ya pamoja iliyokuwa maalumu kuwaombea marehemu waliofariki katika ajali ya meli iliyotokea Unguja mwishoni mwa wiki.
Katibu mkuu kiongozi Philemon Luhanjo akitoa tamko la serikali kuhusiana na ajali ya meli ya Spice Islander iliyotokea mwishoni mwa wiki.
Viongozi mbali mbali walijumuika kwa pamoja na wananchi katika kuwaombea dua wananchi waliofariki katika ajali ya kuzama meli ya Mv Spice Islander katika maeneo ya Nungwi Mkoa wa kaskazini Unguja juzi,sla ya kuwaombea dua maalum iliswaliwa katika viwanja vya maisara mjini Zanzibar jana.
Baadhi ya wananchi walioshiki katika sala na dua maalum wakiwa katika sala ya maiti ya kuwaombe wananchi waliofariki katika ajali ya meli ya mv Spice Islander katika viwanja vya maisara mjini Zanzibar leo
Maelfu ya wananchi wakimsikiliza Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akiwahutubia wakati wa dua maalum ya kuwaombea katika viwanja vya maisara Mjini Zanziba.

Dua ya kuwaombea Marehemu wote nayo ikasomwa
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(watatu kutoka kushoto) akijumuika na baadhi ya viongozi wa Serikali na wananchi wa Zanzibar katika dua ya pamoja ya kuwaombea marehemu waliofariki katika ajali ya meli iliyotokea mwishoni mwa wiki eneo la Nungwi,Unguja.Viongozi wengine katika picha kutoka kushoto ni Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Seif Shariff Hamad,kushoto kwa Rais Kikwete ni Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein,Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mohammed Gharib Bilal,Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Rais Mstaafu awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi.
Baadhi ya wananchi wa Zanzibar wakiswali wkati wa dua maalumu ya kuwaombea marehemu waliofariki katika ajali ya meli ya Spice Islander iliyotokea mwishoni mwa wiki eneo la Nungwi,Unguja.Swala hiyo ya pamoja ilifanyika leo(sept 12) katika viwanja vya Maisara.
Kwanza nawapa pole wafiwa na watanzania wote tupo pamoja katika msiba huu.Mimi nilifikiri kuwa serikali hii ya ccm ingekuwa imejifunza toka katika ile ajali ya mv bukoba kule kanda ya ziwa kwa kuweka sheria na utaratibu wa kudhibiti vyombo vibovu na kujaza kupita kiasi.Na hili suala la kusubiri wazamiaji toka afrika kusini mimi haliningii akilini hata kidogo,kama tuna jeshi la wanamaji na polisi wa kikosi cha maji kwanini mpaka leo hatuna kikosi maalum cha wazamiaji iwe toka jeshi la maji au polisi?nini faida ya kuwa na jeshi la maji na polisi wa kikosi cha maji kama kuzamia majini hadi tusubiri afrika kusini?mimi naona hakuna faidi;kwahiyo vunja ilo jeshi la maji na hicho kikosi cha maji cha polisi maana wanakula mishahara mikubwa ya bure!
ReplyDelete