Nafasi Ya Matangazo

September 25, 2011

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimshukuru Mbunge wa Rorya,  Lameck Airo kwa kutoa mchango wa zaidi ya shilingi milioni 530 kwa shughuli mblaimbali za maendeleokwenye jimbo lake wakati alipozungumza na wananchi kwenye  shamba la umwagiliaji la mpunga la Irienyi wilayni Roraya akiwa katika ziara ya mkoa wa Mara Septemba 22, 2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua  mradi wa umwagiliaji wa kilimo cha mpunga katika kijiji cha  Irienyi wilayani Rorya akiwa katika ziara ya mkoa wa Mara Septemba 22,2011.
Posted by MROKI On Sunday, September 25, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo