Nafasi Ya Matangazo

August 15, 2011

Mshiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, Glori Lori akiwa amejivisha nyoka shingoni huku wenzake wakimwangalia wakati warembo hao na wenzao walipotembelea eneo la Snake Park mkoani Arusha jana. Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika mikoa hiyo.
 Huyu nae alijaribu lakini alikuwa ni muoga kupita kiasi.
 Warembo wakiangalia nyoka aina ya chatu.
 Washioriki pia walipata fursa ya kufanya kaipindi na Radio 5 ya mjini Arusha.
 Ilikuwa ni furaha ilioje kwa kila mtu
 Vitu vya sanaa viliwavuta wengi mjini Arusha.
 Warembo walivutiwa sana
 Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wakishuka ngazi katika Hoteli ya Naura mjini Arusha.
Walishanmgalia na kusema Vodacom Kazi ni Kwako
Posted by MROKI On Monday, August 15, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo