Nafasi Ya Matangazo

August 10, 2011

Warembo wanoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, leo jioni hii wanataraji kuingia rasmi katika Jumba la Vodacom lililopo Maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam kuendelea na kambi yao. Ndani ya jumba hilo warembo hao watakua wakifanya shughuli mbalimbali pamoja na mazoezi yao huku vipindi vyao vikirushwa hewani katika vituo vya Televisheni ambapo Wananchi watapata fursa ya kluwapigia kura. 50% ya kura hizo zitachanganywa na zile za majaji na kumuwezesha mshiriki kuingia nusu fainali ya Vodacom Miss Tanzania baade mwaika huu.
Posted by MROKI On Wednesday, August 10, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo