Afisa Elimu na Mazingira kutoka Ofiisi ya Makamu wa Rais (kushoto) Bw. Daniel Sagata akitoa maelezo kuhusu suala la Hifadhi ya Tabaka la Ozoni kwa mkazi wa Dodoma Bw. Vob De Graar katika viwanja vya nanenane Nzuguni mjini Dodoma ambapo maonyesho ya wakulima yanafanyijka Kitaifa mjini hupo.
0 comments:
Post a Comment