Nafasi Ya Matangazo

August 10, 2011

Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hassan Mwinyi (katikati) akizindua rasmi  akaunti mbili za Benki ya NBC ZA wateja wa Makampuni, Mashirika na  Akaunti ya Wafanyabiashara zinazofuata kanuni na misingi ya kifedha  kwa kuzingatia maadili ya dini ya kiislamu katika Hoteli ya Moevenpick  Royal Palm jijini Dar es Salaa juzi. Wa pili kulia ni Mkurugen zi  Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru na kulia ni Mkurugenzi  Mtendaji wa NBC wa Akaunti za Shariah, wa William Kalaghe.
Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hassan Mwinyi akishikana mikono na  Mkurugen zi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru wakati wa  uzinduzi rasmi wa Akaunti mbili za wateja wake wa Makampuni, Mashirika
 na Akaunti ya Wafanyabiashara zinazofuata kanuni na misingi ya kifedha  kwa kuzingatia maadili ya dini ya kiislamu katika Hoteli ya Moevenpick  Royal Palm jijini Dar es Salaa juzi.
Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hassan Mwinyi (katikati) akizungumza Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru na  kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya NBC, Dr Mussa Assad.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (katikati) akizungumza.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (katikati)  akitoa maelezo kwa Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hassan Mwinyi (wa pili kushoto)
Baadhi ya wageni waalikwa wakichukua futari iliyoandaliwa na benki  ya NBC kabla ya sherehe za uzinduzi wa akaunti hizo.
Posted by MROKI On Wednesday, August 10, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo