Nafasi Ya Matangazo

August 15, 2011

Mshauri wa Mauzo wa Benki ya NBC Tawi la UDSM, Prosper Massano  (kushoto) akitoa maelezo kuhusu huduma mbalimbali za kibenki  zitolewazo na NBC wakati wa semina ya siku mbili iliyoandaliwa na Chuo
 cha Uhandisi na Teknolojia cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (CoET)  kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam  ambayo NBC ilidhamini jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mfanyakazi wa kitengo cha Huduma kwa Wateja wa Benki ya NBC Tawi  la UDSM, Victoria Michael (kushoto) akitoa maelezo kuhusu huduma  mbalimbali za kibenki zitolewazo na NBC wakati wa semina ya siku mbili   iliyoandaliwa na Chuo cha Uhandisi na Teknolojia cha Chuo Kikuu cha  Dar es Salaam (CoET)  kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo  Kikuu Cha Dar es Salaam ambayo NBC ilidhamini jijini Dar es Salaam  mwishoni mwa wiki.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa  (kushoto) akipiga picha na baadhi ya washiriki wa semina hiyo siku ya  uzinduzi.
Posted by MROKI On Monday, August 15, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo