Nafasi Ya Matangazo

August 12, 2011

 Warembo wa Vodacom Miss Tanzania 2011, wakijiandikisha katika mapokezi ya Hoteli ya Mount Usambara iliyopo maeneo ya nanenane mkoani Morogoro baada ya kuwasili hotelini hapo wakitokea Mbugani Mikumi.
 Balozi wa Mount Usanbara akiwa na warembo wa Vodacom Miss Tanzania.
 Warembo wakikamilisha taratibu za kupata vyumba.
Mount Usambara Lodge ni mwamzo mwisho maana usiku waliwaandalia warembo wa Vodacom Miss Tanzania disco kabambe la kukata na mundu. Na hapa ni warembo wakicheza mziki wa Kwaito. Hakika ilikuwa ni zaidi ya Disco lolote lile.
Posted by MROKI On Friday, August 12, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo