Nafasi Ya Matangazo

August 12, 2011

Basi la abiria mali ya kampuni ya SUMRY lenye namba za usajili T 842ASG likiwa limepata ajali jana asubuhi maeneo Vigwaza mkoani Pwani baada ya basi hilo kuacha njia na kutaka kupinduka wakati likitokea Mkoani Kigoma kwenda jijini Dar es Salalaam.
Polisi wa Usalama barabarani wakikagua gari hilo. Aidha mmoja wa Polisi hao alisikika akimtolea lawama dereva wa basi hilo kuwa angesababisha vifo vya abiria wake kwa uzembe.
Abiria na wakazi wa Vigwaza wakiwa eneo la tukio. Ajali hii ilitokea majira ya asubuhi saa moja.
Posted by MROKI On Friday, August 12, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo