Nafasi Ya Matangazo

August 15, 2013


[12-Agosti-2012] ni Miaka miwili tangu ututoke ghafla katika dunia hii. 

Ndugu yetu Omary Saidi Ulembo, ulituaga ukiwa mzima wakati unaelekea Nairobi Kenya kwa shughuli za kikazi, lakini umauti ulikukuta huko huko na kurejesha nyumbani ukiwa marehemu.

Sisi tulikupenda lakini Mola alikupenda zaidi. Mapenzi ya Allah Yatimizwe.

Unakumbukwa zaidi na Mama yako Bi. Husna Omary, Mke wako Sheila Omary, watoto wako, Harith na Shamim, Kaka yako Hidan Omary Ricco, dada zako, Fatuma, Mtumwa, Ziada, Mwanaasha, Lemna, Thureiya, wadogo zako Ngabwe, Rama, Saidi, Shafy, Sadiki, Salum  na Juma. Wajomba zako Shanni na Mbwana,

Mama zako akina Mama  Mtumwa, Mama Yusuph, Mama Shamte, Mama Ponda, Mama Jongo

bila ya kusahau ndugu, jamaa na marafiki wa karibu, Ali Kirro, Pambwe, Khalfani, Abdalla na wengineo.

Tunamuomba Mwenyezi Mungu  ailaze roho yako mahali pema peponi.
AMIN...
Posted by MROKI On Thursday, August 15, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo