Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Kapteni George Mkuchika(kushoto) na katikati ni Naibu Waziri wa Kilimo ,Chakula na Ushirika, Christopher Chiza akiwemo Mbunge wa Singida Magharibi wakifurahia kombe la ushindi wa Yanga.Waziri Mkuu Mizengo Pinda , Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda na Waziri Mkuu wa zamani, Federick Sumaye wakiwa na timu ya uongozi na wachezaji wa Yanga.
July 22, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




0 comments:
Post a Comment