Rais Jakaya Kikwete akimjulia hali baba yake mdogo ndugu Said Rashid, aliyelazwa wodi namba moja Mwaisela katika hospitali ya taifa Muhimbili tarehe 22.7.2011.Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa madhehebu ya Kikristo Tanzania baada ya kikao chao kilichofanyika katika ukumbi wa Karimjee mjini Dar es Salaam 22.7.2011.Rais Jakaya Kikwete akifanya mazungumzo na Waziri wa Afya na Huduma ya watu wa Marekani, Kathleen Sebelius Ikulu ya Dar es Salaam 22.7.2011
July 22, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




0 comments:
Post a Comment