Waziri Mkuu, MIzengo Pinda akijibu maswali Bungeni Mjini Dodoma Julai 14, 2011.Waziri Mkuu, Mizengo PInda akizungumza na Ujumbe kutoka Taasisi ya Hifadhi ya Jamii ya Ghana, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Julai 14,2011. Kulia kwake ni Waziri wa Kazi na Ajira , Gaudencia Kabka.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimshukuru Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Hifadhi ya Jamii ya Ghana, Dr. Grand Sapara, Ofisini kwake, Bungeni Mjini Dodoma Julai 14, 2011.
July 14, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




0 comments:
Post a Comment