Nafasi Ya Matangazo

July 14, 2011

Mkoa wa Tanga na Pwani ni miongoni mwa mikoa ambayo huzalisha machungwa kwa wingi nchini, na hivi sasa ndio msimu wa machungwa umewadia na pindi usafiripo njia ya Moshi Arusha kutokaea Dar es Salaam au Morogoro basi hili litasibitishwa na wingi wa vijana wanaofanya biashara hiyo pindi gari lisimamapo. 

Lakini je wakulima hawa wa machungwa lini watapata soko la uhakika la bidhaa hii? Serikali inajitihada gani za kuhakikisha matunda yetu yanapata soko ama la viwanda vya juice au kusafirishwa nje? Kazi ni kwako.
Posted by MROKI On Thursday, July 14, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo