Mkurugenzi Mawasiliano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Teddy Mapunda akikabidhi jezi na mipira kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF) Absalom Kibanda huku kulia Meneja wa timu ya TEF Masoud Sanani akishuhudua. Vifaa hivyo vitatumika katika mchezo kati ya timu ya TEF na SBL mjini Arusha.
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Teddy Mapunda akikabidhi jezi na mipira kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF) Absalom Kibanda.
Absalom Kibanda akikabidhi vifaa hivyo kwa Meneja wa timu Masoud Sanani na katikati ni Teddy Mapunda akishuhudia.
Teddy Mapunda na Imani Lwinga wakionesha jezi itakayotumiwa na timu ya SBL katika mchezo huo na katikati ni Masoud Sanani meneja wa timu ya TEF.




0 comments:
Post a Comment