Baada ya kilio cha muda mrefu cha kuwepo umuhimu wa kuwekwa mataa katika makutano mengi ya barabara jijini Dar es Salaam hivi sasa makutano hayo hasa yale ya barabara ya Mandela yote yameanza kuwekwa taa. Pichani ni moja ya taa za kuongozea magari zilizopo mataa ya Serengeti Breweries, ambapo pia taa kama hizo zimewekwa pale Uhasibu na Tabata.
Ingawaje watu wanahoji kuwepo kwa askari wa usalama wa barabarani ilhali taa zinafanya kazi vizuri.




0 comments:
Post a Comment