Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akipokea cheti cha ushiriki katika uandishi wa kitabu kiitwacho “The Evolution of Commonwealth Parliamentary Democracy: The CPA at 100” kutoka kwa Mwenyekiti wa CPA Dunia Mhe Mohamed Shafie Apdal, (Mb) Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya madola CPA na waziri wa Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa Malaysia katika Mkutano Mkuu wa 57 wa chama hicho uliofanyika London Uingereza. Mhe. Makinda amenadika mada iitwayo “ The transition from One party to Multiparty Democracy in Africa” ambapo jumla ya mada 31 zimeandikwa katika kitabu hicho na wabunge na maspika Mbalimbali Dunian. Kutoka Tanzania Mhe. John Momose Cheyo naye ameandika Makala katika kitabu hicho iitwayo “Parliamentary Finacila Scrunity”. Picha na Owen Mwandumbya.
Ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa mwaka wa 57 wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya madola (CPA) wakijadili jambo mara baada ya kumalizika hotuba ya katibu Mkuu wa Chama hicho DKt William Shija (hayupo Pichani) wakati wa mkutano Mkuu wa chama hicho Jijini London jana. Ujumbe huo umeongozwa na Mhe. Anne Makinda, Spika wa Bunge, na wabunge ambao ni Mhe. Zitto Kabwe, Mhe. Beatrice Shelukindo, Mhe. Zungu na katibu wa Msafara Said yakubu.
Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda na pika wa Bunge la India (Lok sabha) Mhe. Meira Kumar .

0 comments:
Post a Comment