Nafasi Ya Matangazo

July 28, 2011

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Lediana Mg'ong'o (kulia) na Kaimu Katibu wa Bunge , John  Joel kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma  Julai 28, 2011.
 Waziri MKuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya picha, Naibu Waziri wa Utamaduni wa China, Bibi Zhao  Shaohua kwenye ukumbi wa Waziri Mkuu Mjini Dodoma Juali 28, 2011.
 Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda  akiongozana na  Naibu Waziri wa Utamaduni wa China, Bibi Zhao Shaohua (kushoto kwake)  kwennye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma  baada ya mazungumzo yao Julai 28,2011. Kulia ni Waziri wa Habari, Vijana,  Utamaduni  na Michezo, Dk. William Nchimbi.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Mtama, Bernad Membe kwenye  viwanja  vya Bunge Mjini Dodoma Julai 28, 2011
Posted by MROKI On Thursday, July 28, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo