Nafasi Ya Matangazo

July 12, 2011

 Kikosi kamili cha Timu ya Tifa ya Oman mpira wa Ufukweni ambacho kimefunzu kucheza fainali za kombe la Dunia mwaka huu nchini Italy. Kikosi hiki kinafundishwa na kocha wa zamani wa Simba Twalib Hilal (wa pili kushoto walio simama). Kikosi hiki kipo njiani kuelekea nchini Brazil kuweka kambi kwaajili ya mashindano hayo.
 Makundi yatakayochuana katika fainali hizo.
Kocha wa Oman, Talib Hilal akiwa amesimama kando ya Kombe litakaloshindaniwa katika fainali hizo za FIFA Beach World Cup 2011.
Posted by MROKI On Tuesday, July 12, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo