Nafasi Ya Matangazo

July 13, 2011

 Mkurugenzi wa  Mawasiliano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Teddy Mapunda akizungumza jambo katika mkutano baina ya SBL, Jukwaa la Wahariri na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam hii leo. Mkutano huu ulikuwa unazungumzia juu ya Maandalizi ya Mkutano wa Jukwaa la Wahariri unaotarajiwa kuanza kesho mjini Arusha hadi Jumamosi.
 Teddy Mapunda kutoka SBL akizungumza katika mkutano huo na kulia kwake ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri na Mhaririri Mtendaji wa Free Media , Absalom Kibanda.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri , Absalom Kibanda (wapili kushoto) akizungumza katika mkutano huo na wengine kutoka kushoto ni Katibu wa Jukwaa la Wahariri, Nevil Meena, Teddy Mapunda wa SBL, na mjumbe wa Bodi ya Jukwaa la Wahariri Masoud Sanani.
 Kibanda aklzungumzia mkutano huo wa Arusha ambao miongoni mwa watoa mada ni Jaji Mark Bomani. Kulia ni Teddy Mapunda Meneja Mawasiliano wa SBL.
Sehemu ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo jijini Dar es Salaam leo. Ambapo Wahariri 80 kutoka vyombo mbalimbali vya habari Tanzania bara na Visiwani watahudhuria mkutano huo jijini Arusha.
Posted by MROKI On Wednesday, July 13, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo