Afisa Uhusiano wa Tigo Jackson Mmbando (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya
shilingi milioni kumi mshindi wa promosheni ya Jipange Kimaisha bwana Noel Kapaya
(kulia) jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni afisa wa Tigo Pamela Shelukindo.Mshindi wa promosheni ya Jipange Kimaisha Noel Kapaya akionyesha mfano wa hundi
ya shilingi milioni kumi, mara baada ya kukaidhiwa hundi hoyo na Kampuni ya simu za
mkononi ya Tigo jana jijini Dar es Salaam.

0 comments:
Post a Comment