Nafasi Ya Matangazo

July 23, 2011

Vodacom Miss Lake zone 2011 Tracy Sospeter Mabula, akiwa na washindi wenzake, kushoto kwake ni Irene Karugaba mshindi wa Pili, Kulia Kwake ni Glory Samwel mshindi wa Tatu. Washiriki hawa watatu watawakilisha kanda ya ziwa katika mashindano ya Urembo ya Taifa Jijini Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Saturday, July 23, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo