Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Dr. Asha Rose Migiro walipo kutana katika kijiji cha AU Sipopo katika makazi ya Rais mjini Malabo, Equatorial Guinea, huku Rais wa Ivory Coast Allasane Ouattarra(katikati) ,akishuhudia. Rais Kikwete anahudhuria Mkutano wa 17 wa AU uliomalizika juzi.
July 03, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment