Nafasi Ya Matangazo

July 02, 2011

 MKurugenzi wa Huduma za Kibenki wa Benki ya Twiga Bancorp, Richard Kombole akifafanua jambo kwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano waliotembelea banda hilo jana Lucy Owenha Viti Maalum  na Mbunge wa Nyamagana, Ezekiah Dibogo Wenje.
Rais wa Czech-Tanzania Chember of Commerce, Viktor Korcek akipata huduma ya kubadilishiwa fedha kutoka katika banda hilo la Twiga Bancorp.
 Mmoja wa wafanyakzi wa Twiga Bancorp akimsikiliza mteja aliyekuwa akihitaji ushauri wa kibenki.
 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Twiga Bancorp,  Hussein Mbululo akizindua rasmi mashine maalum ya kutolea fedha ya Benki hiyo iliyopo katika viwanja vya maonesho ya Kimataifa ya biashara barabara ya Kilwa jana ambayo sasa inatumiwa na wananchi kuchulia fedha ndani ya viwanja vya maonesho.
 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Twiga Bancorp,  Hussein Mbululo akifafanua jambo kwa waandishi wa habari waliotembelea banda la benki hiyo lil;ilopo katika viwanja vya Maonesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam jana. Mbululo alikuwa akifafanua shughuli mbalimbali za benki hiyo nchini.
 Mmoja wa wateja wa Twiga Bancorp akichulua fedha kupitia mashine ya ATM ya Benki hiyo iliyopo katika banda la Twiga Viwanja vya sabasaba. Huduma zote za kibeki zinaendelea katika maonesho hayo ikiwa ni pamoja na ufunguaji akaunti, kuchukua na kuweka fedha pamoja na ushauri mbalimbali.
 CEO Mbululo pia alipata fursa ya kutembelea benki marafiki zilizopo katika Maonesho hayo hizi ni zile wanazoshirikiana katika Umoja Swetch (Umoja ATM) na pichani ni akiwa Dar es Salaam Community Bank.
Pia alikutana na wateja wa Benki hiyo wanaoshiriki Maonesho hayo ya 35 ya Kimataifa Dar es Salaam.
TWIGA BANCORP
"TUMETHUBUTU,
TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE"
Posted by MROKI On Saturday, July 02, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo