Nafasi Ya Matangazo

July 02, 2011

 Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharibu Bilal akisaini kitabu cha wageni katika banda la Tume ya Ushindani huku Ofisa Uhusiano wa Tume hiyo , Frank Mdimi akimwangalia. Hii ilikuwa ni muda mfupi baada ya Makamu wa Rsis kufungua Maonesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam July 1, 2011.
 Makamu wa Rais Dk.  Mohamed Gharibu Bilal akiwa katika banda la wajasiriamali wadogo waliowezeshwa kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara baada ya kupata mafunzo kutia SIDO.
 Makamu wqa Rais, Dk. Mohamed Kharibu Bilal (kati) akiwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Dk. Cyril Chami (kulia) na Mmiliki wa SIBUKA FM na SIBUKA TV, ambaye pia ni Mbunge wa Afrika Mashariki Dk. George Nangale wakati akizindua vituo hivyo vya habari.
Wafanyakazi wa Hazina wakifurahia tuzo yao ya ushindi baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika kundi la huduma za  uchapishaji ,uchapaji  , na viandikia vya uelimishaji (Publishing ,Printing, Stationaries Exhibitors) wakati wa maonyesho ya 35 ya kimataifa ya Dar es salaam yaliyofunguliwa leo jijini Dar es salam.
Mwakilishi wa SBL, akiwa na tuzo yake baada ya kukabidhiwa kama wadhamini wakuu wa kinywaji cha maonyesho hayo.
Posted by MROKI On Saturday, July 02, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo