Nafasi Ya Matangazo

July 21, 2011

 Mmoja wa warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss kanda ya mashariki akipita na vazi la ubunifu katika siku ya kumtafuta Balozi wa Usambara Hotel Lodge mjini Morogoro hapo jana.
 Mkuu wa Wilaya ya Morogoro mjini na vijijini Said Mwambungu kulia aliekuwa mgeni rasmi wakati wa kumtafuta Balozi wa Usambara Hotel Lodge akimsikiliza Mkurugenzi wa kamati ya Vodacom Miss Tanzania Hashimu Lundenga,Onyesho hilo lilidhaminiwa na Vodacom Tanzania.
 Warembo tano bora wa Vodacom Miss kanda ya Mashariki walioingia katika kinyanganyiro  cha onyesho la kusaka vipaji na Balozi wa Usambara Hotel Lodge,Onyesho hilo lilidhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro mjini na vijijini Said Mwambungu wapili toka kushoto, Mkurugenzi wa kamati ya Vodacom Miss Tanzania Hashimu Lundenga kushoto,Mama January  Makamba wa tatu toka kushoto na Vodacom Miss Tanzania Genevieve Mpangala wakifatilia onyesho la kusaka vipaji na Balozi wa Usambara Hotel Lodge lililowshariki na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Posted by MROKI On Thursday, July 21, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo