Nafasi Ya Matangazo

June 26, 2011


 Nape akipokea kadi ya aliyekuwa katibu wa CUF kata ya Njinjo, Kilwa Mohamed Likalangala mkutano wa  Kilwa Kivinje.
Wana CCM Kilwa Kivinje wakimshangilia Nape wakati anaondoka mkutanoni eneo hilo.
 Ktib wa NEC, Oganaizesheni,  Asha Abdallah Juma, akimnyamanzisha Asha Likalangala, alipoangua kilio baada ya kuingiwa na maneno, Nape, Kilwa Masoko mko Itikadi na Uenezi Nape Nnauye alipokuwa akihutubia.
Mbunge wa Kilwa Kusini (CUF) Selemani Bungara maarufu kwa jina la Bwege, (kulia) akishangilia wakati Nape akihutubia mkutano wa hadhara, Kilwa Kivinje mkoani  Lindi.
Posted by MROKI On Sunday, June 26, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo