Nafasi Ya Matangazo

June 15, 2011

 Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mahusiano wa Benki ya KCB Tanzania Christine Manyenye akiwaongoza wafanyakazi wenzake kupanda miti  wakati wa uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti 21,000 kuadhimisha siku ya jamii na ya mazingira duniani iliyofanyika katika  Kijiji cha Msongola, Chanika jijini Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya KCB Tanzania Edmund Mndolwa (Kushoto) akipanda mti wakati wa uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti 21,000 kuadhimisha siku ya jamii na ya mazingira duniani iliyofanyika katika  Kijiji cha Msongola, Chanika jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Benki hiyo , Moezz Mir na katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mahusiano wa KCB Tanzania Christine Manyenye.
Wafanyakazi wa Benki ya KCB Tanzania wakigawa juisi kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Msongola walioshiriki uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti 21,000 kuadhimisha siku ya jamii na mazingira duniani uliofanyika katika Kijiji cha Msongola  Chanika jijini Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Wednesday, June 15, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo