Baadhi ya mafundi wakiendelea kumalizia ukarabati jana jijini Dar es salaam wa mabanda ya maonyesho ya 35 ya biashara ya kimataifa ya Dar es salaam ambayo yanatarajia kuanza tarehe 28 mwezi huu. Maonyesho hayo yameandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE).
0 comments:
Post a Comment