Huenda nae akawa Mwanamuziki kama alivyo wajina wake Janeth Jackson, akiwa mwenye kutamani kupokea kitu, ni siku chache kabla ya kutimiza miezi 4 tangu kuzaliwa kwake hapo Mei 10 mwaka huu. Hongera sana wazazi na Mungu awajalie muumlee vyema mtoto Janaeth Jackson.
0 comments:
Post a Comment