Umesikia kijana..."hii kazi sisi tulifanya na chamsingi ni uadilifu" ...nikama Mzee Cleopa David "CD" anamwambia Mizengo Pinda mananeno hayo.
Viongozi hawa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri Mkuu, Mstaafu, Cleopa David Msuya kwenye viwanja vya Kituo cha mikutano cha St. Gaspar Mjini Dodoma May 9, 2011, wanakohudhuria Semina Elekezi.




0 comments:
Post a Comment