Mshiriki wa BBA 6 Mwanadada wa Kitanzania Lotus akipata kifugua kinywa kwaa kipande cha mkate ndani ya jumba la BBA. Watanzania wakati wa kupiga kura ukifika tujitokeze kwa wingi kupiga kura ili Washiriki wetu Bokhe na Lotus wabaki katika jumba hilo. Lotus alikuwa ni mfanyakzi wa EATV ya jijini Dar es Salaam.
May 09, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






0 comments:
Post a Comment