Mwendeshaji wa Gazeti tando hili Mroki Mroki almaarufu Father Kidevu akiwa kazini katika kupaisha habari hewani katika Ofisi yake ya MD Digital Company iliyopo Ukonga Mazizini jijini Dar res Salaam.
Hapa ni katika utengenezaji wa Cards mbalimbali za mialiko na shughuli nyingine kwaajili ya sherehe mbalimbali ambazo ndani ya MD Digital Company zinafanyika. Pia upigaji picha za kawaida na Video katika Tafrija mbalimbali za Kitaifa, Kimataifa na familia na hata mtu mmoja mmoja.
0 comments:
Post a Comment