Iwapo hali hii ni shuile iliyopo jijini Dar es Salaam ambako kila aina ya huduma inaaminika kuwapo na ndipo hasa wanakosema ni Tanzania, vipi huko mikoani hali itakuaje kwa upande wa madawati?. Yeyote mwnye picha ya huko alipo anitume
au ukiwa na kero yeyote ile itume itaenda hewani.





Kama kweli ni picha imepigwa mwaka huu basi inasikitisha sana kuona Tanzania iko hivi baada ya miaka hamsini ya uhuru!!! Na 'watawala' wakao mbioni wanafanya maandalizi ya kusherehekea miaka hamsini ya uhuru wa Tanganyika - tena zitakazogharimu mabilioni!!! Mimi nina wasiwasi pengine ni picha ya mwaka 1970. Je una jina la shule na source ya picha? Lazima tutengeneze bango la picha hii liwe mojawapo ya mabango yatakayopamba hizo sherehe za miaka 50 ya uhuru.
ReplyDeleteBig up mdau kwa maoni yako.
ReplyDelete