Nafasi Ya Matangazo

May 11, 2011

 Makamu wa rais Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Mahadhi Maalim, walipohudhuria mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu nchi masikini, unaoendelea Jijini Istanbul, Uturuki. Mkutano huo ulianza jana Mei 9 na unatarajiwa kumalizika  Mei 13 mwaka huu.
 :-  Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Anna Tibaijuka, akiwa na Waziri wa Ofisi ya Rais Zanzibar, Dkt. Mwinyihaji Makame (katikati) na Mbunge wa Kigamboni, Dar es Salaam, Dkt. Faustine Ndugule, wakiwa ndani ya ukumbi wa mkutano
 Makamu wa Rais, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akiteta jambo na Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Anna Tibaijuka, wakati wakiwa ndani ya Ukumbi wa Mkutano
 Dk.Kharib Mohamed Bilal akifuatilia mada katika mkutano huo
Prof. Anna Tibaijuka akizungumza na mshiriki mwingine wa mkutano huo.
Posted by MROKI On Wednesday, May 11, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo