Hii si barabara ya kijinini ambayo labda ilibahatika kuwa na lami miaka flani na sasa imeharibika, la hasha balio hii ni moja ya mtaa wa Posta pale katikati ya Jengo la Benjamini Mkapa Tower na NMB House jijini Dar es Salaam palipo na makutano ya Azikiwe na Jamhuri, je wahusika shimo kama hili msipo liziba mwatakani?
May 14, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




0 comments:
Post a Comment