Walio meremeta siku ya leo ni Maharusi Thadei Komba na Biharusi Theresia ambao walifunga ndoa Mei 14, 2011 katika Kanisa Katoliki la Ubungo Msewe jijini Dar es Salaam na kufuatiwa na tafrija klubwa katika Ukumbi wa Makete. Mungu aibariki ndoa hii.
Warembo hawa walipendezesha sana maharusi
Hapa wakiwa nao pea pea
Kajiusafiri ka Maharusi kalikuwa haka.
Warembo hawa walipendezesha sana maharusi
Hapa wakiwa nao pea pea
Kajiusafiri ka Maharusi kalikuwa haka.




0 comments:
Post a Comment