Mbunge wa Bumbuli, Januari Makamba akiwa katika mitaa ya stendi ya mabasi Chalinze akisubiri viepe wakati akiwa njiani kuelea mjini Dodoma kuhudhuria kikao cha Bunge mjini humo jana. Mbunge huyu kutokana na wadhifa wake alikuwa na uwezo wa kula katika migahawa mikubwa iliyo Chalinze lakini alimua kujichanganya uswahilini kutokana na utamu wa viepe hivyo.
April 04, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment