Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kikagua shamba lake la mahindi kijijini kwake,Kibaoni mkoani Katavi Aprili 19, 2011. Kushoto kwake ni Msaidizi wa masuala ya jimbo, Charles Kanyanda.
Viongozi wanaopenda kuhamasisha maendeleo kwa vitendo ni mfano wa kuigwa katika jamii sio manenmo tu ya jukwaani.
Hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere aliwahi kuwamkulima mzuri wa mahindi kule Mwitongo.
0 comments:
Post a Comment