Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, James Nsekela akitoa hotuba ya ufunguzi wa programu ya mafunzo ya wakuu wa polisi wa wilaya nchini katika kubaini, kuzuia na kudhibiti uhalifu kupitia mfumo wa ulinzi shirikishi. Semina hiyo ya siku tatu imefunguliwa jana mjini Dodoma. Kushoto ni Kamanda Mkuu Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi, Zelote Stephen na Kulia ni Kamanda Mkuu wa Polisi Jamii Kamishna Msaidizi Mwandamizi, Basilio Matei. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi
Baadhi ya wakuu wa polisi wa wilaya nchini wakisikiliza hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, James Nsekela wakati wa ufunguzi wa programu ya mafunzo ya wakuu wa polisi wa wilaya nchini katika kubaini, kuzuia na kudhibiti uhalifu kupitia mfumo wa ulinzi shirikishi. Semina hiyo ya siku tatu imefunguliwa jana mjini Dodoma. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
Mratibu wa Polisi Jamii, Mrakibu mwandamizi wa Polisi, Englibert Kiondo akielezea kuhusu waraka wa Mkuu wa Jeshi la Polisi wakati wa mafunzo ya wakuu wa polisi wa wilaya nchini katika kubaini, kuzuia na kudhibiti uhalifu kupitia mfumo wa ulinzi shirikishi. Semina hiyo ya siku tatu imefunguliwa jana na Mkuu wa Mkoa wa Dododoma mjini Dodoma. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
0 comments:
Post a Comment