Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimfariji Bibi Mwanajuma Mama wa aliyekuwa katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ustawi wa Jamii Wanawake na Watoto Zanzibar Marehemu Rahma Mshangama, aliyefariki Dunia ghafla jana Mchana na kuzikwa leo katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal na Rais wa Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein katikati, wakiwa kwenye Mazishi ya aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ustawi wa Jamii Maendeleo ya wanawake na Watoto Zanzibar Rahma Mshangama aliyefariki Dunia ghafla jana Mchana na kuzikwa leo katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Zanzibar.
Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal, akiweka udongo ndani ya kaburi
0 comments:
Post a Comment