Nafasi Ya Matangazo

April 15, 2011

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera , Uratibu na Bunge) Mhe. William Lukuvi  (Mb) akisisitiza jambo wakati akifungua kikao cha tisa cha Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu kilicho fanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dodoma tarehe 15 Aprili 2011. Kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Peniel Lyimo
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi  wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera , Uratibu na Bunge) Mhe. William Lukuvi  (Mb) (hayupo pichani) wakati wa kikao cha tisa cha Baraza hilo kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dodoma tarehe 15 Aprili 2011.
Posted by MROKI On Friday, April 15, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo