Nafasi Ya Matangazo

April 20, 2011

Shule za MARIAN Bagamoyo zinazojumuisha:
Marian Girls' High School , Marian Boys' High School na Epiphany Primary School

Zimeandaa Tamasha la Michezo mbalimbali
(Education Sports Bonanza)

Litakalofanyika Tarehe 26 Aprili 2011 katika viwanja vya Shule ya Sekondari LOYOLA
Shule Nyingine zitakazoshiriki ni Canossa,St Joseph,Eagle Boys,Filbert Bayi,Tusiime ,Loyola etc..

WOTE MNAKARIBISHWA!!!

Ticket zinapatikana Msimbazi Center kwenye duka la Marian.Siku ya Tukio pia zitauzwa Getini

(Ticket ni Tsh 5000/- tu ukinunua Msimbazi na Tsh 7000/- tu Getini)
Posted by MROKI On Wednesday, April 20, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo